TAZARA Mbeya Saccos Limited
+255 757 290 618   Login

Aina ya Mikopo

Tunatoa mikopo ya aina mbalimbali kwa mahitaji tofauti. Kiasi unachoweza kukopa na riba ya mkopo inategemea aina ya mkopo na muda wa kurejesha mkopo.

Mkopo wa maendeleo

Mkopo wa maendeleo

Hadi TSh 30,000,000

Pata mkopo wa maendeleo hadi TZS 30,000,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 48. Riba ya mkopo ni aslimia 1.2.

Mkopo wa biashara

Mkopo wa biashara

Hadi TSh 70,000,000

Pata mkopo wa Biashara hadi TZS 70,000,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 48. Riba ya mkopo ni aslimia 2.

Matangulizo ya Mshahara

Matangulizo ya mshahara

Hadi TShs 100,000

Pata mkopo wa matangulizo ya Mshahara hadi TZS 100,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 1. Riba ya mkopo ni aslimia 5.

Mkopo wa vifaa

Mkopo wa vifaa

Hadi Tsh 2,000,000

Pata mkopo wa vifaa hadi TZS 2,000,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 18. Riba ya mkopo ni aslimia 3.

Mkopo wa elimu

Mkopo wa elimu

Hadi Tsh 1,000,000

Pata mkopo wa elimu hadi TZS 1,000,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 6. Riba ya mkopo ni aslimia 2.

Mkopo wa dharura

Mkopo wa dharura

Hadi Tsh 500,000

Pata mkopo wa dharura hadi TZS 500,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 4. Riba ya mkopo ni aslimia 3.

Mkopo wa sikukuu

Mkopo wa sikukuu

Hadi Tsh 200,000

Pata mkopo wa sikukuu hadi TZS 200,000 utakaorejeshwa kwa muda wa hadi miezi 2. Riba ya mkopo ni aslimia 5.

Copyright © 1994 - 2022

TAZARA Mbeya Saccos Limited

Wasiliana Nasi